RC CHALAMILA AFUNGUA MAFUNZO YA UONGOZI KWA VIONGOZI WA MKOA WA DAR ES SALAAM
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA PWANI -Awataka viongozi na watendaji wa Mkoa huo kutumia mafunzo hayo kuleta ufanisi wa kazi zao za kila siku. Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila amewataka viongozi na watendaji Mkoani humo kutumia mafunzo ya uongozi ili kuongeza ufanisi wa utendaji kazi za kila siku ikiwemo kutumia fedha […]