KITAIFA
March 05, 2024
236 views 2 mins 0

JESHI LA POLISI LAFANIKIWA KUZIPATA PIKIPIKI ZILIZOIBIWA NA WATATU WAKAMATWA

Na mwandishi wetu Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linamshikiria Omari Mlopa (28),mkazi wa Mlandizi na wenzake wawili wakiwa na pikipiki 32 zilizoibwa na baadae kuzifanya zao kwa kuzikodisha kwa mikataba kwa watu mbalimbali na kujipatia pesa kila siku. Aidha Jeshi hilo limesema katika kipindi cha Januari hadi Februari, 2024 makosa ya […]

KITAIFA
November 16, 2023
335 views 2 mins 0

JESHI LA POLISI ZINGATIENI HAKI KATIKA UTENDAJI WENU WA KAZI-DKT BITEKO

Dar es Salaam -MADINA MOHAMMED Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amelitaka Jeshi la Polisi nchini kutenda haki wakati wote wa utendaji wao wa kazi, wachukie rushwa na wajikite katika kutatua matatizo ya watanzania kwani usalama wa watanzania upo mikononi mwa Jeshi hilo. Amesema hayo, tarehe 16 Novemba, 2023 wakati […]

KITAIFA
October 21, 2023
312 views 2 mins 0

POLISI “WADEPO 1993″WATOA MSAADA WA THAMANI SH MILIONI 2.5

Baadhi ya Askari Polisi waliotimiza miaka 30 katika utendaji kazi ndani ya Jeshi la Polisi ‘Wadepo 1993’ leo Oktoba 21, 2023 wametembelea Hospitali ya Polisi Kilwa road na kutoa msaada wa vitu mbalimbali vyenye thamani ya shilingi Milioni 2.5. Akiongea katika hafla ya kukabidhi msaada huo Mwenyekiti wa umoja wa Askari hao, ACP. Ally Wendo […]

KITAIFA
August 01, 2023
337 views 2 mins 0

JESHI LA POLISI:WAMKAMATA MTUHUMIWA ALIETUKANA VIONGOZI WA SERIKALI

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limemkamata na linamuhoji kwa kina Selemani Agai Gaya mwenye umri 18) mkazi wa Kigamboni, kwa tuhuma za kutoa lugha ya matusi mtandaoni dhidi ya Viongozi wakuu wa Serikali Tanzania kwa kutumia mitandao wa kijamii. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam Leo jumanne 01 […]

KITAIFA
July 25, 2023
212 views 2 mins 0

POLISI WA KIKE WATAKIWA KUTUMIA ELIMU ILI KUFAHAMU MAANA YA ULINZI WA AMANI

Kamishna wa Jeshi la Polisi Tanzania Suzan Kaganda amewahamasisha washiriki wa mkutano wanne wa mafunzo wa Jumuiya ya Polisi wa kike duniani (IAWP) Ukanda wa Afrika kutumia elimu wanayoendelea kupata ili kufahamu maana ya ulinzi wa amani na kushiriki katika opereshini mbalimbali za kimataifa. Ameyasema hayo leo Julai 25, 2023 katika ukumbi wa Mlimani City […]