MAKONDA:SITOLIPIZA KISASI KWA MTU YOYOTE,MBOWE TUMPE PESA YA MAFUTA
Katibu mkuu wa NEC Itikadi na uenezi ccm Taifa Paul makonda amewataka mawaziri wote na wakuu wa mikoa akiwakilisha mkuu wa mkoa Albert chalamila kuwa pale patakapobainika hawajafanya kazi zao kikamilifu chama hakitasita kuchukua hatua Akizungumza jijini Dar es salaam Leo Alhamis 26,2023 Katika viwanja vya ccm ndogo lumumba wakati akipokelewa na akikabidhiwa ofisi amesema […]