TUGHE YAMUUNGA MKONO RAIS SAMIA YAPELEKA WATALII 800 HIFADHI YA NGORONGORO
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Wageni zaidi ya 800 kutoka Chama cha oWafanyakazi wa Serikali na Afya (TUGHE) wamefanya ziara ya kihistoria katika eneo la hifadhi ya Ngorongoro jana tarehe 29 agosti, 2024. Ziara hiyo ambayo imefanyika baada ya wajumbe wa TUGHE kumaliza semina iliyofanyika jijini Arusha kuanzia tarehe 26/08/2024 ina lengo la kuwaleta pamoja waajiri […]