WAZIRI MKUU AZINDUA KAMATI YA KITAIFA AFCON 2027
Na Mwandishi wetu WAMACHINGA WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa leo Julai 05, 2024 amezindua Kamati ya Kitaifa ya Maandalizi ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON 2027) na kuahidi kuwa Serikali itafanya nayo kazi kwa karibu ili iweze kufanikisha malengo ya Tanzania kufanya vizuri kwenye michuano hiyo. Akizungumza wakati wa uzinduzi wa kamati hiyo kwenye hafla […]