WAZIRI WA ZIMBABWE MHE.CHADZAMIRA AVUTIWA NA BANDA LA OFISI YA WAZIRI MKUU
Na Mwandishi wetu WAMACHINGA Waziri wa Nchi anayeshughulikia masuala ya Mikoa na Ugatuzi kutoka nchini Zimbawe, Mheshimiwa Ezra Chadzamira ametembelea banda Jumuishi la Ofisi ya Waziri Mkuu na Taasisi zilizochini yake na kueleza kuwa Tanzania na Zimbabwe zitaendelea kuimarisha ushirikiano katika masuala mbalimbali ikiwemo sekta ya kilimo na uvuvi. Ametembelea banda hilo tarehe 06 Julai, […]