KITAIFA
March 14, 2025
17 views 3 mins 0

THAMANI YA PSSSF YAENDELEA KUPAA

Na Mwandishi Wetu, Dodoma MTAALAM wa Masuala ya Hifadhi ya Jamii kutoka, Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Tanzania (PSSSF), Valentino Maganga amesema thamani ya mfuko huo imeongezeka kutoka shilingi trilioni 6 hadi 10. Maganga amesema hayo leo mjini Dodoma, wakati wa Kongamano la Taasisi ya Vyombo vya Habari Kusini kwa Afrika Tawi la Tanzania (MISA-TAN) […]