MGOMBEA WA URAIS CHAMA CHA NLD DOYO KUCHUKUA FOMU YA URAIS KESHO
Mtia nia wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha National League for Democracy (NLD), Mhe. Doyo Hassan Doyo, baada ya kutangaza rasmi nia yake ya kugombea nafasi ya Urais, tarehe 14 Machi 2025, mjini Morogoro, kupitia tiketi ya Chama cha NLD. Kwa mujibu wa kanuni ya Chama cha NLD, […]