KITAIFA
October 15, 2024
164 views 56 secs 0

NISHATI SAFI YA KUPIKIA ITAONDOA KADHIA ZA KUNI NA MKAA KWA WATU WENYE MAHITAJI MAALUM -NDERIANANGA

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Aiasa jamii kuwa na mtazamo chanya juu ya Nishati Safi ya Kupikia* Asema viongozi wataendelea kuhamasisha  Nishati Safi ya Kupikia* Naibu Waziri Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu, (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. Ummy Nderiananga amesema kuwa matumizi ya nishati safi ya kupikia yanaenda kuwaokoa  watu wenye mahitaji maalum na kadhia zinazotokana […]

KITAIFA
October 05, 2024
198 views 37 secs 0

MHAGAMA UWEPO WA UMEME VIJIJINI UNACHAGIZA MATUMIZI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Asema Nishati Safi ya Kupikia inastawisha familia kijamii na kiuchumi* Aeleza athari za ukatajiย  miti na uchomaji mkaa* Waziri wa Afya, Mhe. Jenista Mhagama amesema juhudi za Serikali kupitia Wizara ya Nishati kufikisha umeme hadi maeneo ya Vijijini zinapelekea wananchi kupika kwa kutumia nishati iliyo safi kupitia majiko yanayotumia umeme kidogo. […]

KITAIFA
October 01, 2024
200 views 50 secs 0

NISHATI SAFI YA KUPIKIA ITALETA MAGEUZI MAKUBWA ULINDAJI WA MAZINGIRA-MHE MAHUNDI

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Asema hekta 469,000 za misitu zinateketea kwa shughuli za binadamu* Asisitiza Nishati Safi ya Kupikia si anasa* Naibu Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Maryprisca Mahundi amesema nchi inakwenda kushuhudia mageuzi makubwa ya utunzaji wa mazingira kupitia Mkakati wa Matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia ambao kinara wake […]

KITAIFA
September 27, 2024
185 views 2 mins 0

WAKATI UMEFIKA WA AFRIKA KUBADILIKA KWA KUTUMIA NISHATI SAFI YA KUPIKIA-RAIS SAMIA

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Asema Ajenda ya Nishati Safi ya Kupikia inalenga zaidi Wanawake Afrika Atilia mkazo Taasisi zinazolisha Watu kuanzia 100ย  kutumia Nishati Safi ya Kupikia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt.ย  Samia Suluhu Hassan amesema sasa ni wakati wa Bara la Afrika kubadilika kwa kutumia Nishati Safi ya Kupikia ili […]

KITAIFA
September 26, 2024
154 views 34 secs 0

WAZIRI GWAJIMA:TUPIKE KISASA KUEPUKA MAGONJWA

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Atahadharisha kemikali zilizopo kwenye baadhi ya miti* Vyuo vya Maendeleo ya Jamii vyaanza kupika kisasaย  kwa kutumia Nishati Safi* Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Wenye Mahitaji Maalum, Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima ametoa rai kwa Watanzania kupika kisasa kwa kutumia nishati safi ya kupikia ili kuepukana na magonjwa yanayosababishwa […]

KITAIFA
September 20, 2024
188 views 2 mins 0

NISHATI SAFI INAMUONDOLEA ADHA MTOTO WA KIKE-KIJAJI

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Kuokoa muda kwa ajili ya   shughuli za maendeleo Atoa wito kwa wananchi kutumia Nishati Safi ya Kupikia Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji amesema uwepo wa Nishati Safi ya Kupikia kunamuokoa mtoto kike na athari (adha) zitokanazo na matumizi ya nishati isiyo […]