KITAIFA
August 22, 2024
245 views 24 secs 0

OKOA MAISHA YA UWAPENDAO KUACHA MATUMIZI YA NISHATI ZISIZO SAFI ZA MKAA

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Okoa maisha ya uwapendao kwa kuacha matumizi ya nishati zisizo safi za mkaa, kuni na nyinginezo. Matumizi ya nishati zisizo safi husababisha athari za kimazingira zinazopelekea mabadiliko ya tabianchi kama kuongezeka kwa joto, mvua zisizokuwa na mpangilio, ukame  pamoja na uharibifu wa mfumo wa ikolojia.