MTANZANIA ATEKWA NCHINI NIGERIA
Mtanzania ambaye ni frateri wa Shirika la Wamisionari wa Afrika (White Fathers) mzaliwa wa Parokia ya Kabanga, Jimbo la Kigoma, Melkiori Mahinini (27) ametekwa nyara na watu wasiojulikana nchini Nigeria. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Askofu wa Jimbo Katoliki la Kigomba, Joseph Mlola, mseminari huyo alikamatwa Agosti 4 mwaka huu katika jimbo la Minna […]