DKT IRENE AWATAKA WATUMISHI KUENDELEZA MAOMBI NA KUTENDA MEMA KUPITIA MFUNGO WA RAMADHAN NA KWARESIMA
Mkurugenzi Mkuu wa NHIF, Dkt. Irene Isaka amewataka watumishi kuendeleza maombi na kutenda matendo mema kupitia Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan na Kwaresima ambayo kwa mwaka huu imewaunganisha waumini wa madhehebu ya Kikristu na Waislam. Amesisitiza hayo jana Jijini Dodoma wakati wa futari iliyoandaliwa na Mfuko na kuhudhuriwa na Watumishi wa Makao Makuu na […]