ZANZIBAR IMEITIKA, KAMPENI YA UTALII KUELEKEA MSIMU WA SIKUKUU ZA MWISHO WA MWAKA.
Na Kassim Nyaki, NCAA. Zoezi la kunadi vivutio vya utalii vilivyopo eneo la hifadhi ya Ngorongoro kuelekea msimu wa sikukuu za mwisho wa mwaka limefika Zanzibar ambapo kampeni hiyo imepokelewa kwa kishindo, shangwe na bashasha kwa wananchi wa Zanzibar. Meneja wa Idara ya huduma za Utalii na Masoko NCAA, Mariam Kobelo ameeleza kuwa Zanzibar ni […]