Watumishi TFRA Watakiwa Kufanya Kazi kwa Weledi ili Kukidhi Matarajio ya Wakulima
Watumishi wa Mamlaka ya Udhibiti wa Mbolea Tanzania (TFRA) wametakiwa kufanya kazi kwa weledi na kujikita katika kutatua changamoto za wakulima kwa haraka na ufanisi, ili kufanikisha matarajio ya sekta ya kilimo na Serikali kwa ujumla. Wito huo umetolewa, Januari 31, 2025, na Mwenyekiti wa Bodi ya TFRA, Dkt. Anthony Diallo, wakati wa kikao cha […]