WAZIRI JAFO AZINDUA MWONGOZO WA UKAGUZI WA MAZINGIRA KATIKA MIRADI YA UJENZI
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo amelitaka Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) kuongeza wigo wa kuandaa miongozo ya tathimini ya athari za mazingira (TAM) kupitia sekta za viwanda, nishati, kilimo na maji ili kuharakisha zoezi la mapitio ya miradi ya tathimini […]