USG YATOA HUDUMA YA VVU NA CHANJO TAKRIBANI VIJANA 10,000 KUPITIA NDONDO CUP
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Serikali ya Marekani (USG) yatoa huduma za VVU na chanjo kwa takribani vijana 10,000 wenye umri wa miaka 15-24 kupitia mpango wa Ndondo Cup Dar es Salaam. Ndondo Cup ya mwaka huu imekuwa zaidi ya mashindano ya soka ya kienyeji; imegeuka kuwa mpango muhimu wa uhamasishaji wa afya ya umma, ikitoa […]