MICHEZO
July 03, 2023
100 views 3 mins 0

MINGLE FC KUICHAPA TING WAYLAND KWENYE KATA YAO

Mashindano Kimwanga CUP ambayo yalikuwa yakitimuwa vumbi kata ya Makurumla yametamatika siku ya jana baada ya Timu ya Mingle FC kunyakuwa kikombe kwa kuichapa Ting Wayland Magoli mawili kwa sifuri mchezo uliochezwa uwanja wa Bubu. Katika fainali ya michuano hiyo iliyoteka hisia za mashabiki lukuki wa soka katika Kata ya Makurumla pamoja na kata jirani […]