KITAIFA
August 06, 2023
657 views 2 mins 0

NDOA 70 ZA FUNGWA LEO KWA MKUPUO JIJINI DAR ES SALAAM

Ndoa 70 za vijana wasiokuwa na uwezo wa kutoa mahari zimefungwa leo kwa pamoja jijini Dar es Salaam katika moja ya matukio nadra kwa dini ya kiislamu nchini Tanzania katika miongo ya hivi karibuni. Ndoa hizo zimefungwa kwenye ukumbi wa DYCCC, Chang’ombe na kushuhudiwa na maelfu ya watu pamoja na viongozi mbalimbali akiwemo Naibu Spika […]