WAZIRI SIMBACHAWENE:HAKUNA KITU KIZURI KAMA MAISHA YA NDOA
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA MPWAPWA Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe.George Simbachawene (Mb) amesema maisha ya ndoa ni mazuri huku akimtaka Mwenezi wa Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Mpwapwa Ndg.Mgutho Thabit Mathew aliyefunga pingu ya maisha na Mke wake Bi. Herieth Kileo kuishi maisha yenye upendo […]