NDC LAJIVUNIA KUFANIKIWA KUTEKELEZA MIRADI MBALIMBALI YA KIUCHUMI
SHIRIKA la Taifa la Maendeleo (NDC) limesema ndani ya kipindi cha mwaka mmoja linajivunia maendeleo yake kwa kufanikiwa kutekeleza miradi mbalimbali ya kiuchumi ambayo imekuwa ikigusa sekta muhimu za kilimo, viwanda, madini, nishati pamoja na miundombinu ya biashara. Hayo ameyasema leo jijini Dar es salaam jMkurugenzi Mtendaji wa NDC, Dkt Nicolaus Shombe wakati akizungumzia mafanikio […]