KITAIFA
April 16, 2024
149 views 2 mins 0

TAMISEMI YAOMBA TRILLIONI 10.1 BAJETI YA 2024-25

Na Mwandishi Wetu DODOMA Ofisi ya Rais – TAMISEMI, Taasisi zilizo chini yake, Mikoa 26 ikijumuisha Halmashauri 184 zimeomba Bunge kuidhinisha Makadirio ya Mapato na Matumizi kwa mwaka 2024/25 yenye jumla ya  shilingi trilioni 10.125. Kwa mwaka 2023/24, Ofisi ya Rais-TAMISEMI iliidhinishiwa bajeti ya  trilioni 9.18, kati ya fedha hizo, trilioni 3.52 ni fedha za […]

KITAIFA
October 10, 2023
207 views 3 mins 0

WAZIRI JAFO AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA AFISA MTENDAJI MKUU WA BENKI YA STANDARD CHARTERED

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo amekutana na kufanya mazungumzo na Afisa Mtendaji Mkuu wa benki ya Standard Chartered, Bw. Herman Kasekende na kujadili fursa za uwekezaji na uwezeshaji wa miradi ya mazingira na uhimilivu wa mabadiliko ya tabianchi hapa nchini. Katika mazungumzo hayo yaliyofanyika katika […]

KITAIFA
October 09, 2023
180 views 4 mins 0

WAZIRI JAFO AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA WAWAKILISHI WA MASHIRIKA YA KIMATAIFA YANAYOFADHILI MIRADI YA MAZINGIRA TANZANIA

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo amekutana na kufanya mazungumzo na wawakilishi wa mashirika ya kimataifa yanayofadhili miradi ya mazingira na mabadiliko ya tabianchi inayotekelezwa katika maeneo mbalimbali nchini. Katika mazungumzo hayo yaliyofanyika leo Jumatatu (Oktoba 9, 2023) katika Ofisi ndogo za Ofisi Makamu wa Rais […]

KITAIFA
October 05, 2023
180 views 4 mins 0

JAFO:AWATAKA VIJANA KUWA MABALOZI KAMPENI YA NISHATI SAFI KUPIKIA YA TEKNOLOJIA

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais , Muungano na Mazingira, Dkt.Selemani Jafo amewataka vijana kutoka sehemu mbalimbali duniani kuinua sauti na kuelezea wasiwasi mkubwa kuhusu ongezeko la hasara na uharibifu unaohusiana na athari za mabadiliko ya tabianchi. Amewataka vijana kuwa mabalozi wa kampeni ya nishati safi ya kupikia na teknolojia, kuendeleza usawa wa […]

KITAIFA
August 18, 2023
350 views 4 mins 0

KAMATI YA BUNGE YAMPONGEZA RAIS SAMIA KWA KUIMARISHA PSSSF

Kamati ya Bunge ya Ustawi na Maendeleo ya Jamii imeridhishwa na jitihada za serikali chini ya uongozi wa Mhe.Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea kuimarisha Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF). Pongezi hizo zimetolewa Agosti 16, 2023 jijini Dodoma na Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Mhe. Fatuma Toufiq kwenye kikao cha kamati […]

KITAIFA
August 18, 2023
243 views 5 mins 0

PROF. NDALICHAKO: MAZINGIRA MAZURI YA UWEKEZAJI YACHAGIZA UKUAJI WA MFUKO WA NSSF

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Prof. Joyce Ndalichako amesema mazingira mazuri ya uwekezaji yaliyowekwa na Mhe. Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa sekta binafsi yamechochea ukuaji wa Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF). Aidha, Mhe. Ndalichako amesema ukuaji huo umepelekea thamani ya mfuko kuongezeka […]

KITAIFA
August 15, 2023
274 views 2 mins 0

KAMATI YA BUNGE YAMPONGEZA RAIS SAMIA KWA UWEZESHAJI VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU

Kamati ya Bunge ya Ustawi wa Maendeleo ya Jamii imempongeza Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuwezesha ustawi wa vijana na Watu wenye Ulemavu kujikwamua kiuchumi. Kauli hiyo imetolewa leo Agosti 15, 2023 bungeni na Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Mhe. Fatuma Toufiq kwenye kikao cha kamati cha kupokea taarifa ya utekelezaji wa Mfuko wa […]