BALOZI NCHIMBI ATOA SOMO UVCCM
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA _Awataka kushindana kwa hoja, akiwakabidhi jukumu zito Serikali za Mitaa_ _Asema “CCM itawashinda kwa namna ambavyo hawajawahi kushindwa”_ Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, ametoa wito kwa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) pamoja na jumuiya nyingine za chama hicho kuendelea kushindana kwa hoja na […]