KISHINDO CHA SHINYANGA MAPOKEZI YA NCHIMBI
Na Mwandishi Wetu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi amewasili na kupokelewa rasmi Mkoa wa Shinyanga, leo tarehe 9 Oktoba 2024, tayari kuanza ziara ya siku tatu katika maeneo mbalimbali ya wilaya za mkoa huo. Balozi Nchimbi ambaye ameambatana na Katibu wa NEC – Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Ndugu […]