KITAIFA
July 20, 2023
403 views 2 mins 0

TANZANIA YASHIRIKI MKUTANO WA SITA YA KAMATI MAALUM YA MAWAZIRI WA FEDHA

Tanzania imeshiriki Mkutano wa Sita wa Kamati Maalum ya Mawaziri wa Fedha, Mipango ya kiuchumi na Mtamangano wa Afrika, uliobeba kaulimbiu ya โ€œAfrika baada ya Majangaโ€: Majadiliano juu ya Uwekezaji, Ukuaji Endelevu wa Uchumi na Ustawi kwa woteโ€. Mkutano huo uliojumuisha nchi 55 wanachama wa Umoja wa Afrika, umefanyika Jijini Nairobi nchini Kenya. Mkutano huo […]