DKT. DORIYE AVISHWA CHEO KUAPISHWA KUWA KAMISHNA WA UHIFADHI NCAA.
Na Kassim Nyaki, Karatu. Waziri wa Maliasili na Utalii Balozi Dkt. Pindi Hazara Chana (Mb) kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amemvisha cheo na kumuapisha Dkt. Elirehema J. Doriye Kuwa Kamishna wa Uhifadhi wa Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA). Akimuapisha Dkt Doriye katika hafla iliyofanyika leo […]