RC MAKONDA AMBANANISHA MENEJA WA RUWASA LONGIDO,ATHIBITISHA KUMTOMUHITAJI WILAYANI HAPO KUTOKANA NA UONGO PAMOJA NA UZEMBE WA USIMAMIZI WA MIRADI YA MAJI
Na Mwandishi wetu WAMACHINGA ARUSHA Ikiwa ni mwanzo wa ziara yake Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Makonda aliyoipa jina la *SIKU 6 ZA MOTO ARUSHA* , Ametembelea katika Zahanati ya kijiji cha Leremeta Wilayani Longido ambapo akiwa hapo amepokea malalamiko kutoka kwa Mwenyekiti wa serikali ya kijiji cha Leremeta Bw. Supuk Melita na […]