JKT NA WIZARA YA KILIMO WASAINI MKATABA WA MASHIRIKIANO KUINUA SEKTA YA KILIMO
JESHI la kujenga Taifa (JKT) na wizara ya kilimo wametiliana saini mkataba wa mashirikiano katika kutekeleza mradi wa mashamba makubwa kuwezesha vijana kilimo biashara-Building a Better tomorrow (BBT) mbele ya Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania na amiri jeshi mkuu Mh.Dkt. Samia Suluhu Hassan. Mkuu wa Jeshi la kujenga Taifa (JKT) Meja jenerali Rajab […]