MAKALLA: TIMU YA NAMUNGO IMECHANGIA KUKUZA UCHUMI NA UTALII WA MICHEZO RUANGWA
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA *• Kuchangia Namungo ni hiari msirudi nyuma ichangieni* *•Apongeza jitihada za Rais kukuza michezo na timu kuwa na uwanja kisasa* LINDI: KATIBU wa Halmashauri Kuu (NEC), Itikadi, Uenezi na mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), CPA Amos Makalla amesema wasichoke kuichangia timu ya Namungo inapohitajika, kwani uwepo wa timu hiyo unaleta […]