KITAIFA
September 08, 2024
17 views 4 mins 0

DKT BITEKO ASHIRIKI DUA YA MZEE MAJID NSEKELA

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Aiasa Jamiiย  Kuwatunza Wazazi na Kuwaombea Dua* Asisitiza Upendo Miongoni mwa Wanajamii* Watanzania Wasisitizwa Kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa* *Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati* Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko ameiasa jamii kuwa na utaratibu waย  kuwatunza na kuwajaliย  wazazi […]

KITAIFA, Uncategorized
October 11, 2023
179 views 32 secs 0

NAIBU WAZIRI KASEKENYA AWAPA ELIMU WAKANDARASI WASIO TAKA KUPAMBANIA FURSA

Maonesho ya Dar Construction Expo 2023 yamefunguliwa rasmi hii leo October 11 Jijini Dar es salaam na naibu Waziri wa ujenzi Mhandisi Godfray Kasekenya. Akizungumza katika uzinduzi wa maonesho hayo naibu waziri Kasekenya amesema maonesho hayo ni muhimu kwani yamewakutanusha wadau mbalimbali wa ujenzi kutoka ndani na nje ya nchi. Kasekenya amesema kuwa sekta ya […]

KITAIFA
June 19, 2023
252 views 31 secs 0

SERIKALI KUWATHAMINI WATU WENYE ULEMAVU

Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Patrobas Katambi amesema kuwa Serikali ya Awamu ya Sita chini ya uongozi wa Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imeendelea kuwajali na kuwathamini Watu wenye Ulemavu kwa kuhakikisha inakuza ustawi wa kundi hilo. Akizungumza Katika viwanja vya Bungeni jijini dodoma Naibu […]

KITAIFA
June 17, 2023
112 views 2 mins 0

NAIBU WAZIRI KATAMBI AFUNGUA KIKAO KAZI CHA KUPITIA MABORESHO YA PROGRAMU YA UKUZAJI TIJA NA UBUNIFU

Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Patrobas Katambi, amefungua kikao kazi cha kupitia na kujadili rasimu ya mwongozo wa kupima tija na programu ya kukuza tija na ubunifu nchini utakaosaidia kuangalia maendeleo ya ukuaji wa uchumi. Akizungumza jijini Dodoma, Mhe. Katambi amesema mwongozo huo pia utasaidia kutoa taarifa […]