KITAIFA
January 23, 2025
96 views 2 secs 0

NECTA YATANGAZA MATOKEA YA KIDATO CHA NNE, LIMEZIIA MATOKEO 459

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) limetangaza matokeo ya mtihani wa kidato cha nne uliofanyika kuanzia Novemba 11 hadi 29, 2024 huku matokeo ya wanafunzi 67 wakiwemo watano walioandika matusi yakifutwa. Matokeo hayo yametangazwa leo Alhamisi Januari 23, 2025 na Katibu Mtendaji wa Necta, Dk Said Mohammed jijini Dar es Salaam. Amesema […]