BURUDANI
November 16, 2024
628 views 34 secs 0

FREDY MUIGIZAJI WA TAMTHILIA MZANI WA MAPENZI AFARIKI DUNIA

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Dar es salaam. Muigizaji wa tamthilia na Filamu Nchini, Fredy Kiluswa amefariki Dunia.Taarifa za kifo chake zimethibitishwa baadhi ya wasanii wakiwemo @jb_jerusalemfilms na Steve Mengele almaarufu Steve Nyerere. Fredy ametamba na filamu na tamthilia mbalimbali ikiwemo tamthilia ya Mzani wa Mapenzi inayoonyeshwa katika channel ya Sinema Zetu ya Azam TV. Endelea […]