KITAIFA
November 27, 2023
368 views 46 secs 0

BARABARA YA KUUNGANISHA WILAYA ZA KONGWA NA MPWAMPWA MBIONI KUWEKWA LAMI

Waziri Ujenzi, Innocent Bashungwa amewahakikishia Wananchi wa Wilaya Mpwapwa kuwa Serikali ipo mbioni kusaini mkataba wa Ujenzi kwa kiwango cha lami Barabara ya Kongwa Jct- Ng’ambi -Mpwapwa yenye kilometa 32. Bashungwa ameeleza hayo kwa njia ya simu wakati alipotakiwa kutoa ufafanuzi na Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake wa CCM Taifa – UWT, Mama Mery Chatanda […]

KITAIFA
October 02, 2023
245 views 3 mins 0

NDEGE AINA YA BOING KUWASILI KESHO KWA BASHASHA

Tanzania inatarajia kupokea ndege mpya ya abiria aina ya Boing B 737-9 Max ambayo itapokelewa katika kiwanja cha ndege cha kimataifa cha Julias Nyerere Oktoba 3,2023. Mapokezi hayo yataenda sambamba na uzinduzi wa ndege mbili za mafunzo aina ya Cessna 1725 ambazo zitakabidhiwa kwa chuo cha taifa cha usafirishaji (NIT) Hayo yamesemwa Leo na waziri […]

KITAIFA
September 05, 2023
192 views 3 mins 0

WAZIRI BASHE: TANZANIA KUONGEZA HEKARI MILION 8 SUALA LA KILIMO

Waziri wa kilimo Hussein Bashe amesema Tanzania inahitaji kiasi Cha fedha zaidi ya Tilioni 1.3 Kwa mwaka ifikapo 2025 ili Nchi ifikie lengo la kuongeza hekari milion 8 Katika masuala mbalimbali ya Kilimo. Hayo yamejiri Jijini Dar es salaam Katika kikao Cha ufunguzi wa Jukwaa la Mfumo WA Chakula Afrikan AGRF 2023 kilichowakutanisha Mawaziri wa […]