UJENZI WA MIUNDOMBINU YA MABASI YA MWENDOKASI AWAMU YA NNE-DAR UNAENDELEA
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameeleza kuwa Serikali kupitia Wakala ya Barabara (TANROADS) inaendelea na ujenzi wa miundombinu ya Mabasi Yaendayo Haraka Dar es Salaam Awamu ya Nne (BRT 4) kuanzia Daraja la Kijazi (Sam Nujoma) – Mwenge – Maktaba ya Taifa (Posta) yenye urefu wa kilometa 13.5. Pia, ujenzi wa […]