KITU CHA KWANZA KWA MWANASHERIA NI KUHAKIKISHA KILA JAMBO ANALIFANYA KWA WAKATI NA UBORA”- MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI
Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mhe. Hamza S. Johari amewakumbusha Mawakili wa Serikali kufanya kazi kwa haraka, kwa wakati na kwa kuzingatia ubora, Mwanasheria Mkuu wa Serikali ameyasema hayo tarehe 25 Machi, 2025 wakati akizungumza na Mawakili wa Serikali kwenye Mafunzo maalumu kwa Mawakili hao yanayofanyika Jijini Arusha. Mwanasheria Mkuu wa Serikali amewakumbusha Mawakili wa Serikali […]