KITAIFA
January 19, 2024
191 views 4 mins 0

DC BUNDA:MVUA ZA EL NINO NI SABABU YA ONGEZEKO LA MAMBA KASAHUNGA NA MAYOLO

Na. Beatus Maganja Mkuu wa Wilaya ya Bunda Mhe. Dkt. Vicent Anney amesema mvua za El Nino zimekuwa sababu kubwa ya ongezeko la wanyamapori aina ya mamba ambao wamekuwa wakitoka maeneo yao ya asili na kwenda maeneo ya wananchi na kuleta madhara kwa maisha na mali zao katika vijiji vya Kasahunga na Mayolo Wilayani Bunda. […]