KITAIFA
March 04, 2024
160 views 2 mins 0

BASHUNGWA ATOA MASAA MATATU KUREJESHWA.MAWASILIANO YA BARABARA YA MTWARA-MASASI ILIYOKATIKA

Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameelekeza Wakala wa Barabara (TANROADS) kuhakikisha wanarejesha mawasiliano ya barabara iliyokatika eneo la Maili Mbili katika barabara ya Mtwara-Mingoyo-Masasi ndani ya masaa matatu mara baada ya Daraja kusombwa na maji katka eneo hilo. Bashungwa ametoa agizo hilo tarehe 04 Machi, 2024 Wilayani Masasi akiwa na Naibu Waziri Ofisi ya Rais […]