BURUDANI
April 08, 2025
41 views 51 secs 0

MAMA ONGEA NA MWANAO YAMSAPOTI CHRISTINA SHUSHO KWA TAMASHA LA MTOKO WA PASAKA

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Taasisi ya Mama Ongea na Mwanao imetangaza kuunga mkono juhudi za mwimbaji mashuhuri wa nyimbo za injili, Christina Shusho, katika maandalizi ya tamasha la Mtoko wa Pasaka linalotarajiwa kufanyika Aprili 20 katika ukumbi wa Super Dome, Dar es Salaam. Tamasha hilo litajumuisha nyimbo za injili, maombi, pamoja na utoaji wa misaada […]