MTEMVU ACHANGISHA HARAMBEE MAALUMU KATIKA KANISA LA WAADVENTISTA
M/kiti wa Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Dsm Ndg. Abas Zuberi Mtemvu Akiongozana na Mnec wa Ccm Mkoa Ndg. Juma Simba Gadafi Pamoja na M/kiti wa Ccm Wilaya ya Kinondoni Ndg. Shaweji Mkumbura, Wamehudhuria Katika Ibada ya Kanisa la Adentista wa Sabato Yombo Dovya Wilaya ya Temeke, Ambapo M/kiti wa Ccm Mkoa Ndg. Abas Zuberi […]