Uncategorized
June 20, 2023
424 views 4 mins 0

Waziri mkuu: Serikali haitodharau maoni na ushauri WA watanzania kuhusu bandari

WAZIRI mkuu wa Jamhuri ya Muungano WA Tanzania Kassim Majaliwa amewahakikishia Watanzania kwamba Serikali haitodharau maoni na ushauri wanaoutoa kuhusu maeneo yenye hofu kwenye mradi wa uwekezaji wa Bandari ya Dar es Salaam. Waziri Mkuu ameyasema hayo katika sherehe za Maadhimisho ya Miaka 40 ya chuo cha International Evangelism Centre kilichoko Sakila jijini Arusha. Amesisitiza […]

KITAIFA
June 15, 2023
192 views 2 mins 0

Waziri Nchemba Akiwasilisha Taarifa ya hali ya uchumi na mpango wa maendeleo wa taifa 2023/2024

Waziri Mkuu Mhe.Kassim Majaliwa,akiteta jambo na waziri wa Fedha na Mipango,Mhe.Dkt.Mwigulu Lameck Nchemba baada ya kuwasilishwa kwa taarifa ya hali ya uchumi kwa mwaka 2022 na mpango wa maendeleo wa taifa wa mwaka2023/2024 Bungeni jijini Dodoma. Waziri wa Fedha na Mipango,Mhe.Dkt.Mwiguru Lameck Nchemba.Akiwasilisha Taarifa Ya Hali Ya Uchumi Kwa Mwaka 2022 na mpango wa maendeleo […]

KIMATAIFA, KITAIFA
May 31, 2023
66 views 2 secs 0

AIR TANZANIA CARGO KUWASILI NCHINI JUNI 3

Mkurugenzi wa Idara ya Habari – MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema ndege ya mizigo inatarajia kufika nchini Juni 3 mwaka huu na kuwa Juni 1, 2023, Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Mhe. Makame Mbarawa atazungumza na waandishi wa habari kuhusu upokeaji wa ndege hiyo. Amesema hayo leo Mei 31, 2023 katika […]