Tanzania Yajivunia Kujitegemea katika Ugavi wa Dawa za ARV, Hata Bila Msaada wa Marekani
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA MSEMAJI Mkuu wa Serikali na Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari,Sanaa,Utamaduni na Michezo Gerson Msigwa amesema serikali ina hazina yakutosha ya dawa za kufubaza virusi vya Ukimwi(ARVs) na kuwatoaย hofu wananchi kuacha kuhifadhi dawa nyumbani. Hayo yamebainishwa leo Machi 1,2025 Jiji Dar es Salaam wakati akizungumza na waandishi wa habari kuhusu […]