MAVUNDE:KUSAIDIA WA TANZANIA KUPATA MKOPO NA KUINGIA KATIKA SEKTA YA MADINI
Mkutano mahususi kati ya Taasisi za fedha ambao unahusisha wachimbaji wadogo na wachimbaji wakubwa na watoa huduma Kwa kujadiliana kwa changamoto kubwa ya Taasisi za fedha kuto wakopesha sekta ya madini Changamoto hiyo inawafanya watanzania wengi kuwa waangaliaji wa Fursa kubwa ya madini iliyopo Nchini Tanzania na sio washiriki wa sekta ya madini Akizungumza na […]