UWEKEZAJI MASHIRIKA YA UMMA WAFIKIA TRILIONI 86
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA -PWANI MKURUGENZI wa Uwekezaji Ofisi ya Msajili Hazina Lightness Mauki, amesema uwekezaji wa Serikali katika mashirika ya umma nchini umefikia Shilingi trilioni 86 kufikia mwaka 2024. Kutokana na hali hiyo amewataka viongozi wa mashirika ya umma kuhamasisha wananchi wanapata tija kwa uwekezaji huo. Hayo aliyasema jana wakati akifunga mafunzo kwa viongozi […]