CPA MAKALLA”CCM HAIWEZI KUJITENGA NA MATATIZO YA WANANCHI”
Na Mwandishi wetu WAMACHINGA Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha mapinduzi (CCM) komredi Amos Makalla, amesisitiza kwamba Chama hicho hakiwezi kujitenga na Matatizo ya Wananchi, hivyo amewataka watendaji wa Serikali wakiwemo Wakuu wa Mikoa, Wilaya na Wakurugenzi kuendelea na Utaratibu wa kutenga muda ili Kusikiliza na Kutatua kero mbalimbali za Wananchi. […]