BIASHARA
April 29, 2024
73 views 30 secs 0

FAHAMU MFUMO WA KIDIGITALI UNAOTUMIKA KUIMARISHA USALAMA WA CHAKULA NCHINI

Wizara ya Kilimo imekuwa na mkakati wa kutoa mafunzo kuhusu Mfumo wa Crop Stocks Dynamics System (CSDS) kwa watalaamu wa kilimo katika ngazi ya Halmashauri na Sekretarieti za Mikoa ili kuimarisha usalama wa chakula na upatikanaji wa masoko nchini. Huu ni mfumo wa kidigitali wa kusajili ghala, masoko, vituo vya ukaguzi wa mazao na wafanyabiashara […]

BIASHARA
April 29, 2024
101 views 45 secs 0

UHIFADHI WA MAZAO HUMSAIDIA MKULIMA KUPATA BEI NZURI SOKONI

Wizara ya Kilimo imeendelea na mikakati kabambe ya uwekezaji kwenye miundombinu ya uhifadhi wa mazao ili kuhakikisha nafaka na mazao mbalimbali yanakidhi vigezo vya ubora katika soko na yanakidhi vigezo vya ubora vya Kimataifa. Uimarishaji wa miundombinu hii inasaidia kuhakikishia nchi Usalama wa Chakula na kudhibiti magonjwa kama Sumukuvu kwani miundombinu hii huwezesha nafaka kuhifadhiwa […]

BIASHARA
April 28, 2024
209 views 2 mins 0

KUPANDA KWA SENTIMITA 60 KWA SENTIMITA 30 KUNAONGEZA WINGI WA MIMEA

Zikiwa zimebaki siku 3 kuelekea kusomwa kwa Bajeti ya Wizara ya Kilimo kwa Mwaka wa Fedha 2024/2025, Wizara ya Kilimo imeeleza umuhimu wa utafiti katika kufanya kilimo cha kisasa, chenye tija na manufaa makubwa kwa wakulima Wizara hiyo imeweka bayana kuwa utafiti umeendelea kuwezesha upatikani wa mbegu Bora za mazao zenye sifa za kustahimili mabadiliko […]