NAIBU WAZIRI SANGU AWAFUNDA WACHEZAJI WANAOSHIRIKI SHIMIWI MOROGORO,ATAKA USHINDI
Na. Lusungu Helela -Morogoro Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe.Deus Sangu amekutana na kufanya mazungumzo na wachezaji wa michezo mbalimbali wanaoshiriki SHIMIWI kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora ambapo amewataka Wachezaji hao kuhakikisha wanarudi na ushindi Naibu Waziri Mhe.Sangu ametoa kauli […]