RC CHALAMILA ASHIRIKI SWALA YA EID AL- ADHA KITAIFA
Na Mwandishi wetu WAMACHINGA DAR ES SALAAM -Atoa salamu za Mkoa,asema utulivu ulioko katika Mkoa unatokana na viongozi wa Dini Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila leo Juni 17,2024 ameshiriki swala ya Eid Al-Adha Kitaifa katika Msikiti wa Mfalme Mohamed VI Kinondoni Jijini humo ambapo mgeni rasmi alikuwa Waziri Mkuu wa […]