KITAIFA
April 23, 2024
203 views 26 secs 0

RC CHALAMILA DAR IKO SALAMA AWATOA HOFU WANANCHI WA DAR ES SALAAM

-Awatoa hofu wananchi kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila leo April 23, 2024 ametembelea na kukagua maeneo yaliyoathirika na mvua katika Wilaya ya Kigamboni Jijini Dar es Salaam. Akiwa katika ziara hiyo RC Chalamila amekagua miundombinu mbalimbali ikiwemo daraja la kibada ambapo TANROAD wanaendelea na matengenezo […]