KITAIFA
November 23, 2023
224 views 3 mins 0

MAJALIWA:AWATAKA WAKUU WA WILAYA NA WAKUU WA IDARA WAKASIKILIZE KERO ZA WANANCHI

Waziri mkuu kassim Majaliwa Leo Alhamis 23,2023 ametembelea Hospital ya rufaa iliyopo mkoa wa songwe ambayo imeendelea kujengwa na imeshaanza kutumika na viwango vyake vinarizisha Waziri mkuu kassim Amesema Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan anaendelea kuleta fedha kwa utaratibu ili majengo yakamilike. Hospital hiyo Bado inaendelea na ujenzi na Jengo la magonjwa ya dharura , […]

KITAIFA
October 12, 2023
125 views 45 secs 0

RC CHALAMILA ATOA SIKU 14 MABASI MABOVU 70 YA MWENDOKASI KUTENGENEZWA

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila ametoa maagizo hayo leo Octoba 12, 2023 kwa wakala wa mabasi yaendayo haraka (DART) alipotembelea kuona ufanisi wa mabasi hayo katika kutoa huduma kwa wakazi wa Dar es Salaam. RC Chalamila amesema mtoa huduma amekuwa akilipwa fedha katika mradi huo hivyo sio vema kuwa na […]

KITAIFA
August 02, 2023
461 views 33 secs 0

RC CHALAMILA AWATAKA WAMACHINGA,BODABODA NA MADEREVA BAJAJI KUEPUKA MANENO CHONGANISHI YA WANASIASA

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila amewataka Wamachinga, Bodaboda na Madereva Bajaji kuepuka maneno chonganishi ambayo yatasababisha uvunjifu wa Amani ya Taifa. RC Chalamila ametoa kauli hiyo leo Agosti 2, 2023 akizungumza katika kongamano la Wamachinga, Bodaboda na Madereva Bajaji lenye lengo la kumpongeza Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan lililofanyika viwanja vya […]

KITAIFA
June 24, 2023
101 views 3 mins 0

DC mpogolo atatua changamoto za wamachinga karume

Mkuu wa wilaya ya Ilala Edward mpogolo leo ijumaa ya tarehe 23 juni 2023 amewatembelea wafanyabiashara WA soko la karume la mchikichini lililopo Jijini Dar es salaam kutatua changamoto za wafanyabiashara Mkuu wa wilaya amesema Kuna vizimba Zaidi ya 2400 kungekuwa hakuna vizimba hivyo ingekuwa watu 2400 hawana kazi nawapongeza nyie watu 2400 mumeajiri na […]

KITAIFA
June 22, 2023
340 views 4 mins 0

MPOGOLO:AWASHANGAA WANAOMPINGA RAIS SAMIA

Mkuu wa wilaya ya Ilala Edward mpogolo amefanya mahojiano na waandishi wa habari Katika ofisi zake Leo tarehe 22,2023 zilizopo Jijini Dar es salaam Akizungumzia mambo mbalimbali yakihusiana na mambo yake ya kazi na Moja ya mambo hayo na uwekezaji wa bandari akitoa ufafanuzi Wakati shughuli ya sakata la bandari likiwa linaendelea kila Kona watu […]

KITAIFA, Uncategorized
June 21, 2023
282 views 39 secs 0

MPOGOLO:Wilaya ya Ilala inalisha MKOA mzima WA Dar es salaam

Akizungumza Jijini Dar es salaam Katika soko hilo la samaki feri mkuu wa wilaya ya Ilala Edward mpogolo amesema wakati akitoa changamoto nyingi Katika soko hilo amesema Halmashauri ambayo Kwa nchi nzima hakuna Halmashauri yenye mapato mengi Zaidi ya Ilala inamapato mengi Zaidi ya shilingi billion 81 na ndio inayolisha MKOA mzima WA Dar es […]

KITAIFA
June 21, 2023
334 views 24 secs 0

WAZIRI MKUU APOKEA TAARIFA YA WAFANYA BIASHARA KARIAKOO

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Alhamisi, Juni 21, 2023 amepokea taarifa ya Kamati Maalum aliyoiunda kwa ajili ya kupitia, kuchambua na kutoamapendekezo ya kutatua changamoto za wafanyabiashara nchini. Taarifa hiyo imekabidhiwa na Mwenyekiti wa kamati, Dkt. John Jingu ambaye pia ni Katibu Mkuu, Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum. Mkutano huo […]

KITAIFA
June 20, 2023
187 views 3 mins 0

Rc chalamila ATOA onyo Kali watakaojihusisha na upigaji

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, ameonya vikali watumishi na madiwani watakao jihusisha na ‘upigaji’ fedha katika Halmashauri ya jiji la Dar es Salaam, huku watumishi watatu wa jiji hilo wakisimamishwa. Amewataka Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo na Mkurugenzi wa Jiji la Dar es Salaam Jomaary Satura, kuwachukulia hatua kali […]