RC CHALAMILA AKAGUA UJENZI WA BARABARA KM 23.3 YA MWENDOKASI GONGO LA MBOTO
-Asema Sijaridhishwa na kasi ya Mkandarasi ujenzi wa barabara hiyo amtaka kufanya kazi usiku na mchana -Asistiza usafi wa mazingira pamoja kupanda miti na bustani ili kupendezesha jiji. Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila leo April 18,2024 amefanya ziara ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa BRT awamu ya tatu kutoka katikati […]