KITAIFA
May 17, 2024
94 views 2 mins 0

RC CHALAMILA ATANGAZA ENEO LA MUHIMBILI-PEMBA MNAZI KUWA CHINI YA SERIKALI

Na Mwandishi wetu Wamachinga -Amtaka Naibu kamishna wa Ardhi Mkoa kuanza utaratibu wa kupima mara moja. -Aagiza waliofoji nyaraka wachukuliwe hatua Kali za kisheria -Awataka wenyeviti na Watendaji wa kata na mitaa kutokuwa sehemu ya migogoro. Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila ametangaza rasmi eneo la Muhimbili-Pemba Mnazi Wilaya ya Kigamboni […]

KITAIFA
May 16, 2024
158 views 2 mins 0

RC CHALAMILA AFANYA ZIARA KIGAMBONI

-Akagua barabara ya kibada Mwasonga, -Atembelea Kiwanda cha Nyati Cement. -Afanya Mkutano wa hadhara eneo la Kijaka-Kimbiji Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila leo Mei 15, 2024 amefanya ziara ya kimkakati Wilaya ya Kigamboni Jijini Dar es Salaam. RC Chalamila alianza ziara yake kwa kukagua miundombinu ya TANROAD hususani barabara ya […]

KITAIFA
April 29, 2024
60 views 3 mins 0

BASHUNGWA ATEKELEZA UJENZI WA BARABARA YA KIBADA-MWASONGA KUANZA KUPIGWA LAMI

Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amesema kuwa Serikali tayari imeshampata Mkandarasi na kusaini mkataba wa ujenzi wa barabara ya Kibada – Mwasonga – Kimbiji yenye urefu wa kilometa 41 kwa kiwango cha lami. Aidha, Bashungwa ameeleza kuwa Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ameridhia kuongezwa kwa ujenzi wa […]

KITAIFA
April 19, 2024
171 views 2 mins 0

RC CHALAMILA ATAKA BEACH YENYE HADHI YA KIMATAIFA

-Akerwa na mazingira ya uchafu Coco beach -Asema Coco beach ni ya wanyonge akemea uendelezaji usio na tija katika fukwe hiyo ya Coco beach Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila katika muendelezo wa ziara yake leo April 18,2024 amatembelea fukwe ya Coco beach Wilaya ya Kinondoni Jijini humo. Akiwa katika eneo […]